Search This Blog

Tuesday, June 22, 2021

Zanzibar: Hakuna mgeni kuingia bila cheti cha kuthibitisha kutokuwa na maambukizi ya Covid 19


Katika kupambana na maambukizi ya Wimbi la Tatu la #COVID19, Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna mgeni atakayeruhusiwa kuingia bila kuwa na cheti ya kuthibitisha kutokuwa na maambukizi

Wizara ya Afya imewataka Wananchi kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...