Search This Blog

Thursday, June 24, 2021

Ndege ya kijeshi yaanguka Kenya


Helikopta ya Jeshi la Kenya aina ya Mi 171e iliyokuwa katika shughuli za mafunzo imehusika katika ajali kwenye milima ya Ngong, Jimbo la Kajiado eneo la Bonde la Ufa.

Jeshi la ulinzi la Kenya (KDF) limethibitihs ajali hiyo katika mtandao wake rasmi wa Twitter na kuongeza kuwa shughuli za uokozi zinaendelea kwa sasa.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...