Search This Blog

Sunday, May 23, 2021

Kikosi Bora cha wiki CAF, Simba yatoa wachezaji watano

 


Kikosi bora cha wiki Ligi ya Mabingwa Afrika,katika hatua ya robo fainali kimetolewa ambapo  nyota watano wa kikosi cha Simba wametajwa.

Licha ya kwamba kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes na msaidizi wake ni Seleman Matola kuishia hatua hiyo.

Wachezaji ambao wametajwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama, Mohamed Hussein, Shomari Kapombe na Luis Miquissone.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...