Search This Blog

Sunday, May 16, 2021

Dkt. Mpango amuwakilisha Rais Samia kwenye sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu Zephania Mwanza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Mhashamu Maimbo William Mndolwa  wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akihutubia Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Baadhi ya Maaskofu  wa Kanisa la Anglikana Tanzania alipowasli katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza  wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango.

 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...