Nyota wa Muziki kutokea Nchini Nigeria David Adeleke Maarufu kama Davido ameamua kujizawadia Gari Mpya Aina ya Rolls-Royce Cullinan 2021
"Tunafanikiwa kutokana na kusaidia wengine lakini usiache kujizawadia mwenyewe. Nimejipatia Rolls Royce yangu ya kwanza, nawashukuruni nyote" ✍️... Ameandika #OBO Kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuambatanisha Picha pamoja na video clip inayomuonyesha akiwa kwenye gari hilo la Kifahari #RollsRoyce huku akionyesha Jeuri ya Pesa
No comments:
Post a Comment