Search This Blog

Wednesday, January 27, 2021

Watu wawili wameuawa na wengine 2 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu Syria


Raia 2 wameuawa na raia 2 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye pikipiki katika wilaya ya Tal Abyad, ambayo iko chini ya udhibiti wa wapinzani kaskazini mwa Syria.

Waliojeruhiwa vibaya walipelekwa Uturuki.

Vikosi vya usalama vya mitaa, ambavyo vilichunguza eneo hilo, vinasisitiza uwezekano wa kuwa shambulizi hilo lilitekelezwa na kundi la kigaidi la YPG / PKK.

Kituo cha wilaya cha Tel Abyad kaskazini kilikombolewa kutoka kwenye ugaidi na Operesheni ya Amani ya Spring mnamo Oktoba 13, 2019.

Kundi la kigaidi la YPG / PKK, ambalo linaendelea na kazi yake, mara nyingi huandaa mashambulizi ya kigaidi kwa kulenga maeneo ya Rasulayn na Tal Abyad ambayo yamekomnbolewa kutoka kwenye ugaidi na Operesheni ya Amani ya Spring.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...