Search This Blog

Tuesday, July 21, 2020

William Ngeleja Achemka katika Kura za Maoni Jimbo la Sengerema


Mbunge anayemaliza muda wake katika Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja ameshindwa katika kura za maoni baada ya kupata kura 120 dhidi ya Tabasamu Hamisi aliyeongoza kwa kura 335.

Wagombea katika kura za maoni Sengerema walikuwa 60 huku wajumbe wakiwa 929.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...