Search This Blog

Wednesday, July 29, 2020

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU ASHIRIKI MAZISHI YA MZEE MKAPA

      
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, , leo Julai 29,2020 ameshiriki kwenye mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka shada la maua Juu ya Kaburi wakati wa mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika , leo Julai 29,2020 katika Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Udongo kwenye Kaburi wakati wa mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika , leo Julai 29,2020 katika Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.        
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika , leo Julai 29,2020 katika Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...