Search This Blog
Tuesday, February 4, 2020
Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini atia saini kitabu cha rambirambi Kenya kufuatia msiba wa Rais Moi
Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Meja Jenerali (mst) Gaudence Milanzi akiwa ubalozi wa Kenya jijini Pretoria atoa pole na kusaini kitabu cha rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi, akiwa ndiye balozi wa kwanza kufanya hivyo katika mabalozi wanaowakikilisha nchi zao Afrika ya Kusini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...


No comments:
Post a Comment