Search This Blog

Friday, January 24, 2020

14 wafariki katika tetemeko la ardhi Uturuki

Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa 6,8 katika kipimo cha Richter  limetokea  Elaziğ na kusababisha vifo vya watu 14 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300.

Tetemeko hilo limetokea majira ya saa mbili.

Taarifa iliotolewa na shirika ambalo ambalo linahusika na kutoa huduma ya kwanza katika matukio ya dharura AFAD imefahamisha kuwa ni watu 14 ambao wamefariki huku ikihofiwa idadi hiyo kuongezeka.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...