Search This Blog

Friday, November 8, 2019

Video: John Cena Alivyomsuprise Sho Madjozi Kwenye Kipindi Cha The Kelly Clarkson Show



Ni Headlines za mwimbaji Sho Madjozi ambae hivi karibu alipata mwaliko katika kipindi kiitwacho The Kelly Clarkson Show kilichopo huko nchini Marekani.

Sasa Madjozi alifanyiwa suprise ya nguvu ya kuletewa mcheza mieleka John Cena huku Madjozi akiimba wimbo wake unaokwenda kwa jina la John Cena, unaweza ukaitazama hapa ilivyokuwa




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...