Search This Blog
Monday, November 11, 2019
Prof. Kabudi akutana na Katibu Mtendaji wa SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Sigomena Tax jijini Dar es Salaam.
Dkt. Tax ametumia nafasi hiyo kumshukuru Prof. Kabudi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa muongozo na ushirikiano mkubwa ambao SADC inaupata katika kufanikisha mipango ya SADC ambayo imepangwa kutekelezwa kwa mwaka huu hapa nchini.
Dr. Tax amesema mambo hayo yanaboresha utekelezaji wa agenda ya utengamano wa SADC kwa nchi wanachama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...


No comments:
Post a Comment