Search This Blog
Monday, October 21, 2019
Vikosi vya Marekani vyaondoka kaskazini mwa Syria
Vikosi vya Marekani vimeondoka kaskazini mwa Syria na kuelekea magharibi mwa Iraq kusaidia katika juhudi za kuzuia kurejea upya kwa kundi la Islamic State (IS).
Kuondoka kwa vikosi hivi nchini Syria kulitoa nafasi kwa Uturuki kuanzisha oparesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji wa Kikurdi.
Pande zote mbili zimekuwa zikilaumiana kwa kukiuka mkataba wa kusitisha mapigano
ulioongozwa Marekani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...

No comments:
Post a Comment