Search This Blog
Monday, October 14, 2019
Cristiano Ronaldo afikisha magoli 700
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo sasa amefikisha mabao 700 katika maisha yake ya soka. Ronaldo, amefunga goli la kufutia machozi, Ureno ikifungwa 2-1 na Ukraine katika mechi ya kuwania kufuzu Euro 2020.
Takwimu zake zipo hivi;
1. Sporting Lisbon: 5
2. Manchester United: 118
3. Real Madrid: 450
4. Juventus: 32
5. Portugal: 95
Jumla: Magoli 700
- Mechi 9️7️6️
- Mabao 7️0️0️
- Hat-trick 5️4️
- Direct Freekicks 5️5️
- Penati 1️1️3️
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...

No comments:
Post a Comment