Search This Blog

Wednesday, September 18, 2019

VIDEO: Kinachojiri Arusha mkutano wa ma IGP, Rais Magufuli kufungua Mkutano huo , Nchi 14 kuwasili


Rais wa Tanzania, John Magufuli anatarajiwa kufungua mkutano mkuu wa 21 wa shirikisho la wakuu wa polisi wa nchi za  Afrika Mashariki leo Septemba 19, 2019 jijini Arusha.

Mkutano huo utashirikisha wajumbe ambao ni ma Inspekta Jenerali wa Polisi kutoka nchi 14 za  Burundi, Comorro, Djibouti, Congo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Shelisheli, Sudan Kusini, Sudan, Uganda na mwenyeji Tanzania.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...