Mchekeshaji ambaye amekuwa akiigiza sauti ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, John Magufuli, Baraka Magufuli Alhamisi hii amemvunja mbavu waziri mkuu Kassim Majaliwa kwenye mkutano uliofanyika Mafinga mjini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment