Search This Blog

Friday, September 20, 2019

Vanessa Mdee Amchinjia Baharini Juma Jux....Ona Alichomfanya Instagram


Vee Money Vanessa Mdee ameamua KUM - UNFOLLOW Kabisaa Aliyekuwa Mpenzi wake Juma Jux , Vee Money Ameyafanya Hayo Ili Asiumie Moyo Kumuona Jux na Mchumba wake mpyaa NAYIKA ambao wawili hao wamekuwa wakiposti picha mbali mbali wakiwa katika mikao ya kimahaba

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...