Search This Blog

Friday, September 20, 2019

Fatma KARUME Ashimamishwa Uwakili...Afunguka Haya Makubwa Kwa Uchungu -VIDEO


Leo Septemba 20, 2019 Mahakama Kuu ya Tanzania imemvua uwakili kwa muda Fatmah Karume kutokana na kuandika mambo yasiyofaa katika kesi iliyofunguliwa na Katibu Mwenezi wa Act WAZALENDO, Ado Shaibu dhidi ya Rais John Magufuli kupinga kumteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa sasa kwa sababu hana sifa ya kuteuliwa.

VIDEO:


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...