Search This Blog

Monday, September 16, 2019

BREAKING: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa DC na DED Wilaya Ya Malinyi Moro


Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Majula Mateko Kasika na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, Mussa Elias Mnyeti.Uteizi wa viongozi hao umetenguliwa kuanzia leo tarehe 17 Septemba, 2019.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...