Search This Blog

Thursday, September 5, 2019

BREAKING NEWS: Robert Mugabe afariki dunia


Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Mugabe alikuwa nchini Singapore akipokea matibabu kwa muda mrefu.

Ameiongoza Zimbabwe kutoka 1980 mpaka 2017, alipong'olewa madarakani na makamo wake kwa msaada wa jeshi. Fuatilia zaidi Muungwana Blog kwa taarifa zaidi. 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...