Mwigulu Nmchemba "Kagere ni Mzee Tulicheza Wote Umiseta"
Mwigulu Nmchemba: "Ile klabu ambayo huwa inasajili wazee inanisumbua kweli hadi nimezima simu zote, maana Kagere tulicheza wote umiseta".
"Kama ilivyokuwa kwa Feitoto, nilimsajili kama sehemu ya mchango wangu kwa Yanga, mwaka huu litakuwepo jembe moja kabambe ambaye tayari tumeshamalizana tutamtangaza siku atakapokuja atafanya kazi kama Feitoto."
No comments:
Post a Comment