Search This Blog

Saturday, June 8, 2019

Matokeo ya Mechi za Mtoano (Play- Off), Pamba na Geita Gold FC Chali

Kwenye Dimba la Mwadui Complex na mabao mawili ya Salim Salim Aiyee yanaibakiza Mwadui FC ligi kuu.

FT: Mwadui FC 2-1 Geita Gold FC (Agg: 2-1).

 kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba na Kagera Sugar wanafanikiwa kupata ushindi

FT: Kagera Sugar 2-0 Pamba SC (Agg: 2-0).

Kwa matokeo hayo Mwadui FC na Kagera Sugar zinabaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...