Search This Blog

Wednesday, May 29, 2019

Tanzania na Namibia Zatiliana Saini Makubaliano ya Mashirikiano Katika Masuala Mbalimbali

Tanzania na Namibia Zatiliana Saini Tamko la Pamoja la Mashirikiano Katika Masuala Mbalimbali, makubaliano hayo yalitiwa saini na Profesa Palamagamba John Kabudi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi .



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...