Search This Blog

Friday, May 31, 2019

Nyota Zenu Leo Ijumaa 31 May 2019



NDOO ( Jan 20- February 19)
Siku ya Leo ni nzuri  kuna kila dalili ya kupata kile ulichokuwa unakitaka. Utakutana  na watu ambao watakusaidia sana kukamilisha malengo yako uliyojiwekea

SAMAKI ( February 20- March 20)
Jaribu uwezavyo kuwa mkweli katika  mambo yako hasa yanayohusiana na mapenzi ,biashara au maisha yako na utaona faida yake.

PUNDA ( March 20-April 20)
Elewa  kuwa Kuna mtu wako wa karibu anakusengenya na kukuzungumza vibaya sana kwa watu, unaweza kukosa yale yote uliyokuwa unayategemea.

NGOMBE( April 21- May 20)
Jitahidi siku ya leo kadri uwezavyo na ulivyojaaliwa na Mungu  kujenga umoja na mshikamano  na  familia yako usijiingize katika magomvi yoyote unaweza kujikuta ukiadhirika na kuaibika.

MAPACHA (  May 21- Juni 20)
Leo usijaribu kamwe kukiuka makubaliano uliyowekeana na jamaa zako au washirika wako katika biashara vinginevyo utajikuta ukipata mikwamo hasa ya kifedha na hutoaminiwa tena

KAA ( Juni 21- Julai 22)
Leo Kuna kila  Dalili ya wewe kufanikiwa katika mambo yako na malengo yako. jitahidi kumuomba mungu  kwa sala kwa mujbu wa imani yako ili uweze kufanikiwa katika yale unayotarajia kuyafanya.

SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Kuna mambo utayaona kati ya leo na kesho jumamosi ambayo yanaweza kukufurahisha au kukushangaza, Pamoja na hayo  utapata mafanikio makubwa Tegemea safari ya mbali  itakayokupeleka sehemu ambayo hukuitarajia.

MASHUKE  (Agosti 23-Sep 23)
Jaribu sana siku ya leo kutafuta undani na ukweli  wa mambo, kuwa karibu  na mpenzi wako au washirika wako katika biashara ili upate ushauri mzuri wa kukusaidia.  Mali  au kitu kilichopotea kwa siku nyingi kitapatikana.

MIZANI  ( Sep 23-Oktoba 23)
Leo inaonekana unaweza kupata khofu na wasiwasi mkubwa  kuwa makini sana Adui yako na wale wasiokutakiya mema  watakusumbua na kukuzuia wewe kufanya mambo yako uliyokuwa unataka kuyafanya kwa faida yako..

NGE (Oktoba 23-Nov  22)
Leo ile Mipango yako au mipangilio uliyokuwa nayo itafunguka Hakutakuwa na mikwamo yoyote. Kila jambo lako utakalo lifanya linaweza likawa na faida yako.

MSHALE (Nov 22- Desemba 21)
Ijumaa ya leo Kama ulikuwa na mipango yako jiandae kufurahi kwa sababu mambo yatakuwa mazuri  na faida kubwa kwako.

MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Leo ndoto zako zitatimia na utakuwa na uwezo wa kutekeleza yote ambayo uliyokuwa umeyadhamiria katika kipindi hiki kuwa na subira kila kitu kitakwenda bila mikwamo yoyote.                                                                       

SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYE Mungu kwa kumpa karama. na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake.na mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk ukitaka kufatilia nyota yako kila siku, ingia katika pager yetu ya  Facebook iliyo andikwa,

Tumaini tiba asili <<  au whatsapp +255745495181 0682644040   tupo dsm magomeni msikiti wa kiyungi                               www.tumainitibaasili.co.tz

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...